Monday, 5 August 2013

Ngamia na Nguruwe unawafahamu lakini sidhani kama haya wayafahamu?

 Unafahamu kuwa ngamia anaweza kunywa maji lita 94 ambazo ni sawa na galoni 25 za maji kwa muda usiozididakika tatu tu.......

je unafahamu kuwa binadamu ana uwezo wa kunusa harufu ya Nguruwe akiwa umbali wa kilometa 1.6 kutoka mahali alipo?


No comments:

Post a Comment