Aligundua sayari hiyo Mnamo mwaka 1781.Aligundua sayari hiyo kwa kutumia Darubini yake aliyotengeneza mwenyewe.Baada ya kugundua sayari hiyo aliipa jina la GEORGIUM SIDIUM kwa heshima ya mfamle Geogre wa Uingereza.Sayari hiyo ilibadilishwa jina mnamo mwaka 1850 ndipo ikaitwa URANUS,jina la kiasili la kirumi likiwa na maana ya mmoja wa miungu wa kirumi.
Baada ya kukujuza mgunduzi wa sayari ya uranusi sasa nikujuze maana na neno sayari kwa kirumi ni kitu cha kushangaza..hivyo majina yote ya sayari yalitajwa kutokana na miungu mbalimbali ya kirumi.MERCURY maana yake ni mpeleka ujumbe kwa miungu wakati VENUS inamaanisha Mungu wa mapenzi na uzuri,MARS ni mungu wa vita wakati JUPITER ni mfalme wa miungu na SUTURN inamaanisha mungu wa kilimo wakati NEPTUNE maana yake ni mungu wa bahari...
No comments:
Post a Comment