Unapafahamu ambapo mvua inanyesha kwa wingi?
Yawekana ukadhani katika mkoa wenu hapa nyumbani ndipo mvua innyesha kuliko sehemu nyingine yoyote hapa duniani utakuwa unajidanganya..Watafiti wamebaini kuwa kwa wastani mvua inanyesha zaidi katika eneo la MAWSYNRAM,MEGHALAYA huko nchini INDIA,Watafiti hao wanakwambia kuwa katika eneo hilo Mvua inanyesha kwa wastani wa milimita 11,873 kwa mwaka....
No comments:
Post a Comment