UNAFAHAMU HUDUMA YA KWANZA KATIKA RUNINGA?
John Logie Baird alizaliwa August 13, 1888 katika mji wa Helensburgh, Argyll, Scotland na elimu yake aliipata katika shule ya
Larchfield Academy ambayo kwa sasa inaitwa Lomond School.Na alifariki June 14, 1946. huyu ndiye mtoa huduma wa kwanza katika runinga.Alikuwa ni injinia kutoka scotland..Huduma ya kwanza katika runinga ilianza septemba 30,1929 kutoka shirika la utangazaji la uingereza kwenye studio ya Long Acre,Uingereza
No comments:
Post a Comment