Ugonjwa huu wa spanish fluu ulianza mnamo mwaka 1918..ndiyo ugonjwa uliokuwa mbaya zaidi katika historia ya maradhi duniani..
Ugonjwa huo uliua zaidi ya watu milioni 40 dumiani.....
Baada ua kufahamu Ugonjwa mbaya zaidi duniani Je Walifahamu tetemeko kubwa baya zaidi kutokea?
Tetemeko la ardhi kubwa zaidi kuwahi kutokea lilitokea china mnamo 2 feb mwaka 1556 Tetemeko hilo liliua watu zaidi ya 830,000.Ndilo tetemeko lililoua zaidi watu wengi kuwahi kutokea..
Naamini unaifahamu ama kuijua SIDIRIA?
No comments:
Post a Comment