Thursday, 8 August 2013

Unamfahamu mkimbiaji wa kilometa aliyevunja rekodi?

 Hicham El Guerrrouj wa morocco ndiye anaeshikilia rekodi ya kuwa mkimbiajizaidi.Alikimbia umbali wa kilometa 1.609 kwa dakika 3.43.Na rekodi hiyo iliwekwa Roma,Italy julai 7 mwaka 1999

                                                 NADHANI UNAUFAHAMU MSWAKI?

                          Kwa taarifa yako rangi maarufu ya mswaki wa kuonyea meno ni wa BLUU

                                                            MBWA WA POLISI

kama ulikuwa hujui kuwa mbwa wa polisi duniani wamejifunza kujibu amri ambazo waakuwa wamefundishwa kwa lugha ya kigeni mara nyingi ni kijerumani na kiingereza.

No comments:

Post a Comment